I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA
○●□●MATUMIZI○●□○
====》》Sasa tutatizama au kujifunza mambo kama kama mawili kwa tiba ya hii dawa.Kwanza kabisa tuangalie je kama kwako au kwenye biashara utawezaje kujikinga na kujiweka sawa kama unahisi unafanyiwa vitu vibaya kama vya shiriki. Namini nilishaelezea kuhusu kivumbasi na mbaazi ila leo utaongezea na kitunguu swahumu.Sasa nataka hivi vyote kwa pamoja uviweke kwa pamoja na twanga ili upate mchanganyo wake na ukishamaliza bhasi chuku ndoo ya maji na weka io dawa, kama upo nyumbani bhasi mwaga kwa kuzunguka nyumba yako au waeza piga deki ndani kwa hayo maji,Na kama eneo la biashara bhasi waeza tumia hayo maji kwenda kuyamwaga kwa kuzunguka eneo lako la biashara.
====》》Sasa kama wewe unajiona kila ukilala bhasi ndoto mbaya za kutisha zinakuandama au una sumbuliwa na majini nataka uchukue karafuu na kitunguu swahumu kabla ya kwenda kulala saga na uweke kwenye maji yako ya kuoga, na hutosumbuliwa tena na io khari.


0 Comments