I'M TAZ GENIUS NIKISEMA NIMESEMA

💫✨️
♤♡♤♡kwenye mapenzi Kuna nuksi nyingi sana🖐
♤♡♤Unaweza Kanyaga tego lisilo lako na kupatwa na zohari au nuksi
💫TIBA YA KUONDOA NUKSI NA MIKOSI KUSAFISHA NYOTA.
💫leo Katika tiba nawapa siri mojai. wapo watu wanamikosi hatari Hadi wanakosa pesa za kula tu
✨️Kwanza tambua ukiwa na mikosi mwilini mwako hapa usitegeme kufanikiwa ata Jambo dogo unaweza kukosa kila kitu kwenye maisha yako Hadi kufikia mtu bora nife tu sio kwa dhiki hizi
✨️ukiwa na mikosi na nuksi utakutana na uzito mkubwa Katika maisha yako ukipanga Jambo halitimi ukiwa na biashara ngumu Sanaa kutoka, kujikuta unakutana na uzito Katika utafutaji wako kupewa ahadi za hewa ukiomba msaada kupewa inakuwa kauli kuwa sina pesa, kiujumla nuksi na mikosi mwilini usiombe ikupate ata uwe na elimu kiasi gani au uzuri aina gani kufanikiwa ngumu
💫achumba au waowaji au wanawake wazuri utawasikia kwa jirani yako kama mwanamke atachezewa leo kesho jamaa kakimbia mazima hii ndio nuksi na mikosi.
●●●SASA UTAJUAJE KAMA NYOTA YAKO IMECHQFUKA AU KUFIFIA 👇👇
👉MIPANGO YAKO KUHARIBIKA KILA UNALOPANGA HALIFANYIKI.
👉UNAKUTA UNACHUKIWA BILA SABABU YEYOTE.
👉PESA ZAKO HAZIKAI UNAKUTA ZINAKWISHA BILA KUFANYA LOLOTE LA MAHANA.
👉MARAFIKI AU NDUGU HAWAKUJARI KWA KILA UNALOFANYA WANAONA UNAKOSEA.
👉KWENYE MAISHA UNAKUTA UNATUMIA NGUVU NYINGI KWA KAZI NDOGO.
●□●□SASA UTAWEZAJE KUONDOA HIZO NUKSI○●□●
====》Tafuta tangawizi na mti au mmea fulani upo maporini na nakumbuka Zaman ulikuwa unajiotea hata majumbani kwetu na huo mti unatabia ya ajabu sana, Endapo ukayagusa au kuishika bhasi majani yake yanajikunyata au kujikunja👇 unaweza kuona hapo kwenye picha.
👉NATAKA UCHUKUE KILE KIMTI NA HIZO VITUNGUU SWAGUMU UKIWA UMEVISAGA UCHANGANYE KWENYE MAJI YAKO YA KUOGA NA UKAOGE 🖐🖐
💫✨️NIMEAMBANISHA VIDEO KWENYE COMMENT HAPO KWA CHINI
💫✨️NIKISEMA NIMESEMA