I'M TAZGENIUS KING MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA

✨️💫
🖐Leo nataka tufanye tiba moja mujarabu na yenye nguvu kuliko hivo unavyofikilia na hili jambo katu hutokuta Mahalia popote watu au waganga wengine wakisema ni mimi hapa Taz genius 9 WA 90 nikisema nimesema.
🖐kwenye biashara Kuna mambo mengi sana unaweza kuta unafanya biashara yako kumbe pembeni yako Kuna mtu hapendi vile unavyofanikiwa na anaweza hata akakufanyia husda mbaya kwa kufanyia nuksi ili upate zohari kwa biashara yako.
🖐Sasa nasemaje tunaenda kuiomba mizimu ikusaidie na kukuongoza kwa io biashara yako na kama ulikuwa ujui bhasi Kuna vyakura mizimu inapenda sana.Na moja ya vyakula ivo ni pamoja na asali,mpunga,maziwa mgando. Sasa Kuna watu watakua wanajiuliza hivi vitu unafanyaje.
○●□MANDALIZI○●□
===》》Tafuta chungu au vyungu viwe vitatu
====》》Tafuta mpunga hata ukipata robo ila sio ule uliokobolewa.
===》》Tafuta maziwa ya mgando nusu Lita
===》》Tafuta asali Ile mbichi
===》》Tafuta chumvi ya mawe
○●□ MATUMIZI□●○
Chukua maziwa yale mtindi weka kwenye chungu kimojawapo,alafu chukua asali weka katika chungu kingine,alafu chukua ule mpunga weka katika chungu kingine na Ile chumvi ya mawe tafuta hata chombo weka🖐
Mpka hapo utakuwa umemaliza zoezi lako nenda kaweke sehemu Safi isiokuwa na buguza au ukiweka chini ya kitanda itakuwa vizuri zaidi.mimi siseme chochote ila kitachokuwq kinatokea kwa vile vitu ndo utakumbuka na kujua sisi wafrika bado mizimu yetu inatukumbuka.
🖐Nasemaje atakae fanya io dawa kama ulikuwa na biashara yako utaleta mrejesho hapa na kile kitakachotokea kwenye hivo vitu utaleta mrejesho hapa.
💫✨️NIKISEMA NIMESEMA 9 WA 90