I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA

LEO NAKUFUNDISHA KITU AMBACHO KAMA HAUNA MOYO MGUMU USIJARIBU


Jamani eh leo sasa nawapa darasa kubwa tena hili darasa sijui hata kwanini nafundisha ila napenda kuwapa elimu na ukaenda kujifunza na ulete mrejesho hapa.mimi tazgenius nikisema ninesema.

Je
unataka kujua mchawi anaekusumbua au kukuroga kwa kila jambo lako unalofanya au je ungependa kumuona mtu anaekufanyia ubaya,Sasa baking hapa hapa nakupa hili somo na ukafanye.
====》》Tafuta kioo
===》》Tafuta chungu kidogodogo kinafaa.
===》》Tafuta maziwa au tumia asali kama utapenda
===》》Tafuta kamzizi ka mgomba tena ule mgomba mdogo ufukue taratibu na ukate mzizi.
====》》Tafuta Jani la kisamvu.
====》》Ya mwisho tafuta mbaazi.

Ukishapa vitu vyote sasa nataka kama utakausha sawa kama utasaga sawa ila nataka upate unga wa uo mchanganyo wa ivo vitu,nadhani hapa tumelewana jamani yaani kile kimzizi,Jani la muogo au kisamvu na Jani la mbazi nataka usage au ukaushe upate unga.

Chukua kioo chako,weka kwa juu na uanze kupaka huu unga kwa kusiriba pale juu ya kioo, na ukimaliza sasa tafuta sehemu ili uanze kutega kabomu chako,utafanya hivi WEKA KIOO SEHEMU NZURI CHINI YAKE UWEKE IKO CHUNGU KIWE NA MAZIWA AU ASALI NA UANZE KUNUIA KILE WEWE UNACHOTAKA UKIONE HAPO.

Narudia tena kama una moyo mwepesi usifanye na unatakiwa uwe msafi kipindi unafanya hii dawa.
0 Comments