I'M TAZGENIUS KING MFALME WA DAWA TIBA ASILI
Uchawi wa kutumia majini/mapepo mara nyingi umfanya mtu awe na hali isiyokawaida kama kutojielewa na kuwa na majanga ya ajabu na asielewe ingawa yuko makini lakini wapi na wenegine husema huyu ana mikosi na nuksi kwani mpaka wengine umtenga na kumnyima ushirikiano kama ni mwanamke ukosa mme, au kazi na wengine madereva hunyimwa kazi za kuendesha magari kwa kusema kuwa akigusa gari ni ajali tu au gari inaharibika na mambo chungu nzima yanamuandama yasiyokuwa na chanzo kinachoeleweka

1-TAFUTA YAI
2-TAFUTA UZI UWE MWEKUNDU NA MWEUSI
3-MAKAPENI NYEKUNDU AU NYEUSI
====》Sasa leo unaenda kuvunja maagano yote ya kichawi pamoja na vifungo vyote na uwe huru kabisa.
====》Kwanza kabisa chukua yai la kienyeji lililo viza na uandike jina lako la mwanzo na la mama ako la mwanzo.
===》chukua izo uzi mbili mwekundu na mweusi nataka uzungushie kwa ilo yai na ukimaliza sasa nataka twende njia panda iwe usiku na useme maneno haya "NAVUNJA MIKOSI NA MAGANO LEO"




0 Comments