I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA
Kwenye maisha Kuna mengi sana yanafanyika kuhusu sisi binadamu hasa kwenye harakati za kutafuta, Sasa unaweza kuta unajiona kila unalofanya bhasi unahisi haupendwi au kama wewe ni msichana unaona kila mwanaume kwako anakuona eti hauvuti.
Nataka leo niwape hii dawa ya mvuto nasemaje hata kama wewe unajiona hauvuti machoni mwa mwatu bhasi tumia hii dawa na hata wewe mwanaume ukipita au ukajaribu kumu mfata mwanamke na akakwambia eti haumvuti bhasi leo fanya hii dawa nasemaje utakuja kunishukuru![]()
![]()
●□●□MANDALIZI●□●□
1=Tafuta yai la njiwa
2=Tafuta marashi ya aina yeyote
3=makapen iwe nyekundu au nyeusi
4=mafuta unayotumia yeyote yale
====》》Chukua ilo yai la njiwa nataka uandike jina lako tu inatosha.
====》》Pulizia yale marashi juu la ilo yai uku ukinuia kile unachotaka.
====》》Chukua mafuta yako unayotumia nataka udumbukize lile yai ndani yake.
====》》Liache kutwa nzima na uje upake yale mafuta na huku ukinuia.


0 Comments