I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA
MAANA YA NYOTA:
Nyota inawakilisha kipawa, hatma ya mtu, lengo lililomfanya Mungu akulete hapa duniani na kusudi lako la maisha. Hivyo tunaposema nyota yako ipo au imechukuliwa maana yake hayo mambo yamechukuliwa au yapo. Kimsingi hakuna mtu asiye na maana tangu kuzaliwa kwake, kwasababu kila mtu aliye duniani amekuja kwa kusudi lake.
Maisha ya upweke na hakuna anayekujali katika familia.


0 Comments