I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA

✨️💫
🖐Bawasiri ni nini?
✨️Bawasiri ni kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani ya au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Ni hali ambayo inaweza kusababisha nyama kujitokeza nje. Hivyo bawasiri inaweza kuwa bawasiri ya ndani au bawasiri ya nje. Ugonjwa huu unaweza kusababisha mwasho, maumivu na damu au kamasi kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa ingawa wakati mwingine hauna dalili. Madhara ya bawasiri ya ndani ni pamoja na damu kutoka wakati wa kujisaidia, damu kuganda ndani ya mishipa ya damu na maumivu.
🖐Kutokea kwa bawasiri kunaweza kuhusishwa na hali kama uzee, ujauzito, kuharisha au choo kufunga (constipation), saratani kwenye nyonga au kukaa kwa muda mrefu.
🖐Dalili za Bawasiri
✨️Inakadiriwa 40% ya watu wenye bawasiri hawana dalili za moja kwa moja. Dalili za bawasiri hujumuisha maumivu, mwasho na hisia ya kitu kinachokera katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Baadhi ya watu hupata shida kujisaidia haja kubwa na hutokwa damu wanapojisaidia. Wakati mwingine mishipa ya damu huweza kujitokeza nje. Ikiwa hali hii inatokea, inawezekana kuhisi uvimbe mdogo katika eneo husika.
🖐Vihatarishi vya Bawasiri
✨️Bawasiri hutokea pale shinikizo huongezeka kwenye mishipa ya damu inayozunguka njia ya haja kubwa. Hii huweza kuwa matokeo ya kitu kinachokandamiza utumbo, kama vile wakati wa ujauzito, au huweza kutokea kutokana na kujikamua sana wakati wa haja kubwa kutokana na kufunga choo au kuharisha kwa muda mrefu. Hali hii hutokea sana na hutokea zaidi kadri umri unavyoongezeka. Watu wenye uzito wa kupita kiasi wana uwezekano mkubwa wa kupata bawasiri. Vitu vingine vinavyoongeza hatari ya kupata bawasiri ni pamoja na:
🖐Kubeba vitu vizito mara kwa mara
🖐Kukohoa au kutapika mara kwa mara
🖐Kujamiiana kinyume na maumbile
🖐Historia ya bawasiri kwenye familia
🖐Magonjwa yanayoathiri njia ya haja kubwa
🖐Kukaa kwa muda mrefu
🖐Uzee na matatizo ya kutopata choo
👉NATAKA LEO SASA UJITIBIE HII BAWASIRI NA UPONE KABISA.
👉Hapo kwenye picha utaona mfano wa vitu utakavyopaswa kutafuta na Kuna bamia,Kuna ilo ua mi nalita upendo sasa sijui wewe utalitaje,Kuna mti au mmea unaitwa nturatura nadhani nyote mwaujua. Sasa hivi vyote nataka uchhukue na uchemshe yaani nataka uchemshe kwa pamoja na ukimaliza bhasi tafuta beseni lako weka uo mchemsho wako huku ukiwa na maji yake wastani,nataka ukiweka kwenye beseni sasa utaona kabisa unatoka mvuke na ule mvuke ndo dawa.Sasa nataka Ufanye kitu kimoja sijui wewe utakaje ila nachotaka uchutame narudia tena uchutame kama uko chooni na lile beseni liwe kwa chini huku ukiwa umevua nguo. Nasemaje mimi hapa tazgenius nikisema nimesema utakuja kunishukuru.