I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA TIBA ASILI TANZANIA
Kuwashwa sehemu za siri kwa wanawake ni miongoni mwa changamoto za kiafya zinazowasumbua wanawake wengi bila kujali rika lao.
Tatizo la kuwashwa sehemu za siri kwa wanawake ni kubwa na hupelekea mwanamke kupata matatizo ya kisaikolojia kwa kuwa mara nyingi inakuwa vigumu wakati mwingine kusema kwa daktari kwamba nina tatizo sehemu zangu za siri.
Maambukizi hayasambazwi kwa njia ya kujamiiana (STI). Hata hivyo hutokea zaidi kwa wale wanaoshiriki katika tendo la ndoa wakiwa na michubuko. Vihatarishi vingine hujumuisha ni pamoja na.


0 Comments