Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, hisia na mishipa ya damu, misuli ya uume. Tafiti zinaonesha kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba
Tatizo hili huwanyima sana watu raha na kupelekea kuwa na mawazo, migogoro katika mahusiano. Watu wenye changamoto hii mara zote wanahitaji dawa zisizo na madhara (virutubisho lishe) vilivyotokana na mimea na matunda na kubadilisha mitindo yao ya kimaisha (lifestyle changes) ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo
fika tazgenius upatiwe dawa na upone kwa muda mchacche

0 Comments