Taz genius investment inawatarifu fans wake kuwa inatoa tarifa ya nafasi ya kazi kwa idara tatu tofauti

👇👇 na tunaomba mwenye sifa hizo hapo atume maombi na sifa zake kabra ya tarehe tajwa hapo chini.