I'M TAZGENIUS MFALME WA DAWA NA TIBA ASILI

Habari ndugu jamaa na marafiki leo nataka tuzungumze kitu kimoja kwenye mahusiano, kwenye mahusiano hasa ya wapendanao wale walioko kwenye ndoa au bado ni wachumba wanaotalajia kuwa pamoja hapo badae.

Kuna mafarakano au kukosana mkiwa mpo pamoja ila je ulishawahi kujiuliza kwanini tunakuwa na ugomvi ndani ya nyumba na kukosekana na maelewano,watu wanashindwa kujua Kuna nuksi na husda mbaya kwa watu
wako wa karibu wasiopenda mahusiano yako na kupelekea kuanza kuwafanyia vitu (shiriki) ili tu msikae kwa amani ndani ya nyumba.Au Kuna moja wapo unaweza kuta anatoka nje ya nyumba na kuwa na mtu mwingine na kukuona wewe sio kitu.

Sasa mimi kama
Tazgenius nasemaje nasemaje hio ndoa yako au mahusiano yako unayaona yanaenda kuvurugika wala usijari na kuwa na amani njoo na fika office yetu ilipo na tutarudisha io heshima iliopotea ndani ya nyumba.
0 Comments